Welcome to Tanzaniska Riksförbundet
(Monday - Friday)
Näsby Alle 6 183 55 Täby Stockholm - Sweeden

News

Form ya Maombi ya Uchaguzi 2024

Maombi ya Uongozi Tanriks 2024 TANRIKS inawakaribisha diaspora kuomba Uongozi wa uchaguzi wa mwaka 2024. Muombaji anatakiwa kuwa ni Mwanachama Hai ( Aliyelipa Ada ) na mkazi wa Sweden. TANRIKS inawaleta watu Pamoja Step 1 of 3 33% Contact Details – Taarifa za MuombajiMajina Kamili ya Mwombaji(Required) Dr.MissMr.Mrs.Ms.Mx.Prof.Rev. Title Jina la kwanza Jina la Ukoo…
Read More

Mkutano Mkuu TANRIKS 2024

Baraza la diaspora Watanzania Sweden – Tanriks linapenda kuwajulisha wanachama, taasisi na umma kuwa, mkutano mkuu na uchaguzi wa viongozi utafanyika tarehe 27 April 2024 katika ukumbi wa Budo Huset Uppsala. Svartbäcksgatan 86, 753 35 Uppsala. Mkutano utaanza saa tisa mchana (15:00) hadi saa saba na nusu usiku (01:00).Baada ya mkutano mkuu na uchaguzi, kutakuwa […]
Read More

Survey form

Survey Form Mkutano Mkuu TANRIKS Uppsala 2024 Overall, how entertaining was the event ?(Required) 1 -> Boring 2 3 4 5 6 7 8 9 10 -> Fantastic What was the single best part of the event(Required) Live band performance Food and Music General Election Would you recommend a similar event to a friend?(Required) Yes,…
Read More

SHEREHE YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI 2023

TANGAZO Baraza la Diaspora Watanzania Sweden-Tankriks kwa kushirikiana na ubalozi wa Tanzania Stockholm Sweden, linawakaribisha wanachama na wakazi wote wa Sweden wenye mapenzi na utamaduni wa Kitanzania mahususi lugha ya Kiswahili, kuhudhuria sherehe ya siku ya Kiswahili duniani  . . . Read More   SIKU YA KISWAHILI DUNIANI – TANRIKS-1
Read More

MKUTANO MKUU 2023

TANGAZO KWA WANACHAMA NA UMMA MKUTANO MKUU 2023 NA USIKU WA M.U.U Baraza la Diaspora wa Tanzania Sweden – Tanriks linawajulisha wanachama na umma kuwa mkutano mkuu 2023 na usiku wa Mazingira, Utamaduni & Utalii, utafanyika tarehe 11/12 Machi 2023, Jijini Gothernburg.Tarehe hii mpya inabadilisha tarehe ya awali ya 25 Machi 2023 iliyotangazwa kuwa siku […]
Read More

TANRIKS DIGITAL

Tanriks inawakaribisha Wanachama na Diaspora wapya nchini Sweden kutumia mfumo wake wa kidigatali katika kulipa Ada na kujiandikisha Uanachama. Mfumo huu ni rafiki wa uhakika na unaweza kutumika wakati na mahali popote na mtumiaji kupitia simu. ULIPAJI WA ADA KWA WANACHAMA WALIOJISAJILI 1. Tembelea tovuti yetu 2. Bonyeza member login 3. Weka Email Address yako […]
Read More

MKUTANO MKUU MALMÖ 2022

MKUTANO MKUU NA UCHAGUZI WA TANRIKS 2022 Uongozi wa Tanriks unapenda kuwajulisha Diaspora Watanzania kuwa, Mkutano Mkuu wa Tanriks 2022 utafanyika Malmö tarehe 26 Machi 2022. Uamuzi huo umefikiwa baada ya mkutano wa Bodi ya Ushauri ya Tanriks uliofanyika tarehe 26 Septemba 2021. Mgeni rasmi ni Mhe.Balozi Grace Martin Olotu , Balozi wa Tanzania Nordic, […]
Read More

SHEREHE YA MIAKA 10 YA TANKRIKS MALMÖ

TANRIKS MIAKA KUMI 09 FEBRUARI 2022 Tanriks inawakaribisha Diaspora na Umma kushiriki pamoja katika tafrija ya kusherekea miaka kumi ya tangu kuanzishwa kwake. Tafrija itafanyika machi 26  2022 katika ukumbi wa SOFIELUNDS FOLKET HUS, ROLFSGATAN 16 MALMÖ kuanzia saa kumi na mbili joini baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa Tanriks 2022. Ada kwa mshiriki […]
Read More